Kiungo ‘Fundi’ Debora Fernandes Mavambo Aipa Simba Thank You...

 

Kiungo ‘fundi’ Debora Fernandes Mavambo Aipa Simba Thank You...

Kiungo ‘fundi’ Debora Fernandes Mavambo (24) mwenye uraia pacha wa Congo Brazaville lakini anaechezea timu ya taifa ya Gabon ameaga rasmi ndani ya Simba Sc ikiwa ni takribani mwaka mmoja tu tangu atue klabuni hapo kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Mutondo Stars ya Zambia.


“Asante sana familia ya Simba Sc kwa sapoti yao katika kipindi chote nilichokuwa ndani ya klabu hi, hakika nitaikumbuka klabu hii, mashabiki na viongozi wote wa Simba Sport Club.”—Deborah Fernandez Mavambo


✍️ Je unadhani msimu mmoja tu umetosha kwa Simba Sc kufikia uamuzi wa kumuacha Dibra Fernandes Mavambo au angepewa muda zaidi hususani sasa ambapo mtu aliyekuwa anamkalisha benchi (Fabrice Luamba Ngoma) ameondoka?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad