Yanga SC wamekamilisha Usajili wa Beki wa Kimataifa wa Ghana Frank Assinki

 

Yanga SC wamekamilisha Usajili wa Beki wa Kimataifa wa Ghana Frank Assinki

DEAL DONE✅

Mabingwa wa Kihistoria Nchini Tanzania Yanga SC wamekamilisha Usajili wa Beki wa Kimataifa wa Ghana Frank Assinki Kwa Mkopo wa Msimu Mmoja akitokea Singida Black Stars.

Mlinzi Huyo Assinki Anatarajiwa kuwasili Nchini Tanzania Leo akitokea Ghana, Asink anakuja yanga Kuchukua Nafasi ya Attohoula Yao Ambaye ameondolewa kwenye Kikosi cha yanga kuelekea Msimu Mpya Kutokana na Majeraha yake.

Yanga Tayari imekamilisha Idadi ya Wachezaji 12 wa Kigeni.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad