JUST IN: Fei Toto Ameongeza Mwaka Mmoja Kubaki Azam Hadi 2027

JUST IN: Fei Toto Ameongeza Mwaka Mmoja Kubaki Azam Hadi 2027


JUST IN: Fei Toto ameongeza mwaka mmoja kubaki Azam hadi 2027

Fei alibakiza mkataba wa mwaka mmoja na Azam ila leo ameongeza mwingine na sasa ana mkataba wa miaka miwili.

Kila kitu kimekamilika Fei amesaini na picha zimepigwa

Hivi sasa Fei atakuwa mchezaji mzawa ambae analipwa hela nyingi kuliko wote👇

1. Azam wamempa fei hela binafsi ya kusaini mkataba mpya (Sign on fee Tsh 800m cash).

2. Mshahara wa (Tsh 50m take home) kwa mwezi hii ni baada ya makato na kodi.

3. Ubalozi wa Azam Pesa ambapo kwa mwaka atalipwa tsh 200m.

Lakini pia Azam wame-activate buyout clause yake kutoka $500,000 na saaa inatajwa ni $800,000.

Fei amechagua kubaki Azam ili apige hela

By Hans Rafael

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad