SIMBA Wamsajili Jonathan Sowah, Ateba Out

SIMBA Wamsajili Jonathan Sowah, Ateba Out


Kutoka ukurasa wa mchambuzi wa michezo Hans Rafael  inasemekana kwamba ucku huu Simba wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Singida Black stars Jonathan Sowah.

Simba wamemfuata sowah na project nzuri na kijana amekubali na dili limekamilika rasmi msimu ujao Sowah atavaa jezi ya mnyama.

Tutegemee kwa ujio wa Sowah, Simba itabidii wamuuze Ateba ambae ana ofa kubwa kutoka Morocco.

ATEBA OUT❌️

SOWAH IN ✅️

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad