Offen Chikola is Now Green & Yellow

 

Offen Chikola is Now Green & Yellow

Offen Chikola is Now Green & Yellow✅

Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Tabora United na timu ya taifa ya Tanzania, Offen Francis Chikola (26).

Chikola amechagua kuwa Mwananchi kwa mkataba wa miaka miwili na kila kitu kimekamilika.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad