Simba imekamilisha usajili wa kiungo Mshambuliaji Morice Abraham (21) 🇹🇿 baada ya kuachana na FK Spartak Subotica ya Serbia 🇷🇸a Fadlu Davids 🇿🇦 ameridhishwa na ubora wake katika kipindi chote alichofanya nao mazoezi.
✅ It's all Done & Sealed 🔒