Kumbe Simba Walimtaka Kante na Sio Conte Eleweni Hivyo......

 

Kumbe Simba Walimtaka Kante na Sio Conte Eleweni Hivyo......

DEAL DONE ✅

Klabu ya Simba imekamilisha Usajili wa Kiungo wa Senegal Alassane Kante` maarufu kama 'Iniesta' mwenye Umri wa miaka 24 Kutoka Klabu ya CA Bizertin ya Nchini Tunisia.

Kila kitu Kimekamilika na mchezaji Anatarajiwa kuwasili Tanzania Kesho Jioni Baada ya kucheza Mchezo wa kuagwa kwa heshima ya Kuondoka kwake.

Kante` mwenye Uwezo Mkubwa wa kucheza Nafasi ya Kiungo wa Dimba la Kati na mwenye Ufundi wa kulisakata soka Ambaye anafananishwa na mchezaji wa Zamani wa Hispania na Barcelona Andres Iniesta.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad