Aishi Manula si sehemu ya Kikosi cha wachezaji 23 ambao wataondoka kesho kuelekea Afrika Kusini
Badala yake Mussa Camara, Ali Salimu, Hussen Abel ndiyo magolikipa watakao safiri na timu kuelekea Afrika kusini Je? Hussen Abel ni Bora kuliko Manula, Ali Salimu ni Bora kuliko Manula jibu ni hapa by Experience bado Manula ni Bora kuliko hawa wote lakini hapewi heshima yake kama anavyostairi.
Simba ni Club kubwa pia ina viongozi bora pamoja na yote yaliyopita Manula kafanya MAKUBWA sana sasa Why Manula si sehemu ya Kikosi kinacho safiri kesho!. ni kigezo gani? Kimetumika kumbakisha Manula siamini kama ni mamuzi ya Fadlu Davids.
Simba ni timu kubwa inapaswa kuendeshwa kisasa