Sajili Mpya za Ligi Kuu zilizolipa Zaidi Ligi Kuu Bara



Nyota wa Simba Sc Elie Mpanzu kafunga magoli matatu [3] na assist nne [4] kwenye michezo kumi [10] ambayo kacheza akiwa na klabu ya Simba,tafsri yake ni kwamba Mpanzu kahusika kwenye magoli saba [7] kwenye michezo kumi [10].

Elie Mpanzu ni mchezaji wa pili kuwa na takwimu bora zaidi kwa wachezaji ambao waliingia dirisha dogo la usajili hapa Tanzania.

Elie Mpanzu kazidiwa na Jonathan Sowah kutoka Singida Black Stars mwenye magoli saba [7) ambae amejiunga na Singida Black Stars dirisha dogo la usajili,ni dhairi kwamba Jonathan Sowah na Elie Mpanzu sajili zao zimelipa kwenye klabu wanazochezea (HAKUNA HASARA).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad