Klabu ya 🇹🇿Yanga imebadilisha utaratibu wa wachezaji kuingia kambini baada ya kutolewa kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Barani Afrika na 🇩🇿MC Algers.
Yanga ilikuwa na utaratibu kwa wachezaji wake kukutana siku chache kabla ya mchezo wakitokea majumbani kwao na sasa watakuwa wakikaa kambini kwa muda wote.