Vipi Huku Kwenu, Bado Wanasema Yanga Mbovu?



Vipi Huku Kwenu, Bado Wanasema Yanga Mbovu?

WAKATI msimu mpya wa Ligi kuu ukianza Yanga ilikuwa ikipondwa kwamba imesajili wachezaji wazee Hata hivyo, ilianza na moto na kushinda mechi nane mfululizo, kidogo waliokuwa wakiibeza walitulia, hata hivyo ilivyopoteza mechi mbili mfululizo dhidi ya Azam na Tabora United, kelele zilianza upya kwamba “Yanga ndio basi tena, Yanga imekwisha.”

Lakini moto iliyomaliza nao ikiufunga mwaka 2024 na kujiandaa kuukaribisha 2025 umeshtua chini ya kocha Sead Ramovic, kwani kikosi hicho kimetoa dozi za maana katika mechi tano mfululizo za ligi hiyo na kushinda jumla ya mabao 18.

.

Kipigo cha juzi kilikuwa mwiba kwa kocha Mohammed Muya, kwani mara baada ya mchezo klabu ya Fountain Gate ilitoa taarifa ya kumsitishia mkataba yeye na benchi nzima la timu hiyo, huku ikiwashukuru kwa mchango walioutoa kipindi chote wakiinoa timu hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad