Ligi ya 4 Kwa Ubora Africa Lakini TIMU Zinafanya Mazoezi Viwanja vya Shule

Ligi ya 4 Kwa Ubora Africa Lakini TIMU Zinafanya Mazoezi Viwanja vya Shule


Baada ya kutoka kwa rank za ubora wa Ligi barani Afrika na Ligi ya Tanzania kuonekana ni Ligi namba nne kwa ubora , Edga Kibwana amechallenge kuwa nje tunaonekana wakubwa lakini uhalisia zipo klabu nyingi Tanzania zinafanya mazoezi viwanja vya shule,  Club nyingi Hazina Vifaa vya Mazoezi vinavyohitajika kwa timu proffesional

Ligi bora inaundwa na Klabu bora lakini cha kushangaza klabu za Ligi kuu zinawekeza kwenye matokeo na kusahau miradi (project) ya vijana


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad