Mpanzu Bado Tatizo Hawezi Kucheza Dakika 90, Kocha Fadlu Afunguka

Mpanzu Bado Tatizo Hawezi Kucheza Dakika 90, Kocha Fadlu Afunguka


“Tume fanya nae mazoezi kwa muda mrefu tunajua yupo fit lakini hana match fitness, bado hawezi kucheza kwa dk90 na ukizingatia kuna mechi kila baada ya siku mbili”

Bado kuna safari ndefu ilikuona ubora wake tuna tegemea itachukua michezo 8 mpaka 9 ili kuona ubora wake”

Amesema Fadlu Davis Wa Simba sc

.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad