Zubeda Sakuru Ateuliwa Kaimu CEO Timu ya Simba

Zubeda Sakuru Ateuliwa Kaimu CEO Timu ya Simba


Simba SC imetangaza rasmi kuachana na aliyekuwa CEO wao Francois Regis Raia wa Rwanda baada ya kudumu nae kwa muda wa siku 121.

Simba haijaweka wazi sababu hasa za kuachana nae lakini imemtangaza Zubeda Hassan Sakuru kuwa kaimu Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Simba SC, Zubeda amewahi kuwa Afisa rasilimali Watu (HR) Simba SC na alikuwa Msaidizi wa CEO wa zamani wa Simba Imani Kajula.

Francois Regis alitangazwa rasmi kama CEO mpya wa Simba SC July 26 na kuanza kazi rasmi August 1 2024.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad