Mutale na Kagoma Kukosa Mchezo wa Simba na Pamba Jii Leo

Mutale na Kagoma Kukosa Mchezo wa Simba na Pamba Jii Leo


Nyota wawili wa Simba SC Joshua Mutale na Yusuph Kagoma wanatarajiwa kuukosa mchezo wao dhidi ya Pamba Jiji unaotarajiwa kupigwa siku ya leo kwenye dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza.

Nyota hao wawili wanasumbuliwa na majeraha ambapo Mutale aliyepata wakati akiwa kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Zambia huku Kagoma yeye aliyapata kwenye mchezo wa Kariakoo Derby na tayari ameanza mazoezi mepesi mepesi.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad