Mdomo Wamponza Ali KAMWE, Wanasheria wa Sandland Wamdai Fidia ya BIL 3




Wanasheria wa Sandland Wadai Fidia ya BIL 3 Kwa Ali Kamwe


Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the Only One ambaye ndie Mtengenezaji wa jezi za SIMBA imemtumia barua Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ikidai fidia ya BILLION TATU kutokana na kauli za kumchafua Mteja wao na imepelekea kuathiri biashara zake.

Wanadai Kamwe alitoa maneno kuwa Viongozi wa Simba wamemsema sana SANDA kuwa wanatukanwa kisa yeye na wakamsusia uzinduzi wa jezi ndio maana akaenda kufanyia dukani kwake.

Kwenye Demand Notice hiyo wanataka Kamwe afanye mambo yafuatayo:

1- Kulipa fidia ya 3,000,000,000

2- Kumwomba msamaha hadharani Sandaland kwa kumkashfu kuwa anazalisha jezi mbaya hazina ubora.

3- Anapaswa kuomba msamaha kwa Umma kupitia vyombo vya habari vile vile alivyotumia kuongea alichoongea.

4- Ana siku saba (7) za kufanya yote hayo nje na hapo hatua kali zaidi watazichukua.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad