Licha ya Kutofunga Magoli, Yanga Yamuheshimisha Prince DUBE, Ashindwe Mwenyewe tu




Kuelekea Mchezo wa kwanza hatua ya makundi CAF Champion League Yanga imempa Mshambuliaji wao Prince DUBE kuwa kama sehemu kubwa ya mchezo huu na kuamua kuita “DUBE DAY”

Kutaka kuwaonyesha Watanzania kuwa Sisi ni kikazi jeuri Yanga Kila Mshabiki wa Yanga akija Uwanjani funga kamba mikononi mwako na ukifika Uwanjani getini zitake hizo kamba kuashiria kuwa Dube amezaliwa upya.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad