Kocha Gamondi; Siwezi Kuwalaumu Wachezaji, Lawama zote Nabeba Mimi Kufungwa na Tabora


Kocha Gamondi

Timu yangu ina uchovu,tumecheza mechi sita ndani ya Siku ishirini”

“Kıla kitu leo kilikwenda vibaya,tumepata jeraha dakika ya nane,Musonda amepoteza nafasi ya wazi,tumepoteza penati wao wamefunga,wameshambulia mara mbili wakafunga,sisi tumeshambulia x20 hatukufunga,siwezi kupeleka lawama kwa Wachezaji wangu,lawama zote nabeba mimi”

Gamond

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad