Chama, Mkude na Okrah Hawakutakiwa Kusajiliwa na Yanga Hata Kidogo

Chama, Mkude na Okrah Hawakutakiwa Kusajiliwa na Yanga Hata Kidogo


 𝗖𝗛𝗔𝗠𝗔, 𝗠𝗞𝗨𝗗𝗘 , 𝗢𝗞𝗥𝗔𝗛 𝗛𝗔𝗪𝗔𝗞𝗨𝗧𝗔𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔.

“Jonas Mkude, Clatous Chama na Augustine Okrah kiufundi hawakutakiwa kusajiliwa Yanga. Nafikiri ni mambo ya siasa tu, lakini hakukuwa na sababu ya kuchukua wachezaji wale.


Ukitazama position ya Chama pale Yanga walishaenea. Wako kina Pacome, Aziz na Maxi. Hawa walitosha kabisa na hakukuwa na kitu kinachomiss. Yanga walipaswa kwenda juu zaidi ya wachezaji hawa.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad