Amri Kiemba: Thamani ya Makocha wa Kigeni Inazidi Kuimarika

Amri Kiemba: Thamani ya Makocha wa Kigeni Inazidi Kuimarika


“Kwa kukiangalia kiwanda tulipotoka na hapa tulipo unaona thamani ya makocha wazawa inaongezeka, makocha wazawa wameanza kutengeneza thamani lakini hiyo thamani inatengenezwa na makocha wenyewe”

“Kama Ukilinganisha na makocha wa kigeni huwezi kuiona thamani yao lakini ukilinganisha kwa tulipotoka na hapa tulipo unaiona hiyo thamani , cha muhimu ni kujua haiwezi kuja tu kwa haraka na kukua bali ni mchakato”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad