Mchambuzi wa Soka Farhan Kihamu @jr_farhanjr anasema kuelekea mechi ya tarehe 19 Simba Vs Yanga kama ikatokea Yanga ikamfunga Simba haitokuwa story lakini kama Simba ikamfunga Yanga itakuwa Story
.
Maana yake nafasi kubwa ni Yanga kumfunga Simba kuliko Simba kumfunga Yanga, Unakubaliana na Farhan