Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ni miongoni mwa viongozi watakao kuwa uwanjani Leokesho kushuhudia mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Dr Congo mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2025.
Kwa mujibu wa Ofisa Habari na Mawasiliamo wa TFF, Cliford Mario Ndimbo, amesema pia Mgeni Rasmi katika mchezo huo ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa.
Je, Taifa Stars watatoboa kwa Mkapa?