PAUL Pogba Kuungana na Greenwood Marseile BAADA ya Kupunguziwa Adhabu

 

PAUL Pogba Kuungana na Greenwood Marseile BAADA ya Kupunguziwa Adhabu

Klabu ya Olympique Marseille ipo kwenye mazungumzo chanya na nyota wa Juventus, Paul Pogba juu ya uwezekano wa kumsajili nyota huyo wa zamani wa Manchester United ambaye adhabu yake ya kufungiwa kujihusisha na soka imepunguzwa kutoka miaka minne hadi miezi 18.


Mkataba wa Pogba na Juventus unafikia ukomo mwezi Juni 2026 lakini Kibibi Kizee hicho cha Turin kinatajwa kutaka kusitisha mkataba na mshindi huyo wa kombe la Dunia ili kumruhusu kuwa huru kujiunga na klabu nyingine.


Pogba (31) raia wa Ufaransa anaweza kuanza mazoezi ya kujiweka sawa kwa ajili ya kurejea uwanjani mwezi Machi ambapo adhabu yake it ukomo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad