Klabu ya Torino ipo kwenye mpango wa kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Manchester City, AC Milan na timu ya Taifa ya Italia Mario Balotelli.
Balotelli anatarajiwa kuchukua nafasi ya Zapata aliyeumia Enka na anatarajiwa kukaa nje ya uwanja hadi mwishoni mwa msimu huu.