MBWANA SAMATTA AITWA TENA TIMU YA TAIFA, HICHI HAPA KIKOSI KAMILI KILICHOTANGAZWA LEO

MBWANA SAMATTA AITWA TENA TIMU YA TAIFA, HICHI HAPA KIKOSI KAMILI KILICHOTANGAZWA LEO


Kaimu Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Hemed Suleiman ‘Morocco’ ametangaza kikosi cha timu hiyo kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024.


Katika kikosi hichi nahodha wa Stars, Mbwana Samatta amerejeshwa kikosini huku kwa mara ya kwanza beki wa Simba Sc, Abdulrazack Hamza akiitwa kikosini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad