KEN GOLD WAJITUTUMUA WAPATA ISHINDI WA KWANZA LIGI KUU

 

Klabu ya KenGold
Klabu ya KenGold 

Klabu ya KenGold kwa mara ya kwanza imeshinda mchezo wa kwanza tangu wapande kucheza ligi kuu soka Tanzania bara msimu huu wakitembeza kichapo cha goli 1-0 wakiwa ugenini dhidi ya JKT.

Goli pekee lilipoleka alama tatu kwa wazee wa makarasha limefungwa na Herbet Lukindo dakika ya 68 ya mchezo.

Kengold wamevuna alama tatu zilizowafanya kukusanya jumla ya alama 4 mpaka sasa kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania bara wakiwa wamecheza michezo saba.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad