Hivi Ndivyo Ali Kamwe na Ahmed Ally Walivyotambiana Kuelekea Dabi ya Kariakoo

 

Hivi Ndivyo Ali Kamwe na Ahmed Ally Walivyotambiana Kuelekea Dabi ya Kariakoo

Semaji la Caf Ahmed Ally amekutana uso kwa uso na Ali Kamwe Semaji la Wananchii, ambapo sababu ya kukutana kwao ni timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ ambayo inajiandaa kuikabili DR CONGO Jumanne ya kesho.

Katika kusherehesha Watanzania kwenda uwanjani kuipa nguvu Stars, wakajikuta kila mmoja akimtambia mwenzie kuwa Jumanne ndio siku ya mwisho kupata furaha wakiwa kwa Mkapa baada ya Stars kumchapa DR Congo ila baada ya hapo kitafuata ni kilio Tarehe 19 Oktoba.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad