Cole Palmer Mchezaji BORA wa Mwaka England

 

Cole Palmer Mchezaji BORA wa Mwaka England

Kiungo wa Chelsea, Cole Palmer amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa kiume wa mwaka 2023/24 wa timu ya England kwa kura za wachezaji.


Kiungo wa Real Madrid, Jude Bellingham amekamata nafasi ya pili huku Bukayo Saka wa Arsenal akishika nafasi ya tatu.


Palmer ametwaa tuzo hiyo bila kuanza mechi hata moja ya England kwenye EURO 2024 huku akicheza jumla ya dakika 145 tu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad