Baada ya Siku 369 Fundi Neymar Arejea Uwanjani
Baada ya kuwa nje ya uwanja kwa siku 369 nyota raia wa Brazil Neymar Jr amerudi uwanjani hii kutumikia timu yake ya Al Hilal,
Neymar aliingia dakika ya 77 akichukua nafasi ya Nasser Al Dawsar mchezo ambao Al Hilal wameshinda kwa mabao 5-4 dhidi ya Al Ain