Fei Toto |
Alex Ngereza anasemaa.
"Simba wapo serious wanamtaka Feisal salum na inaelezwa kwamba yupo kiungo mwingine mmoja yupo Yanga nae yupo kwenye rada za Simba na kuna uwezekano mkubwa akasaini Simba kama mambo yataenda vizuri na mchezaji huyo wakala wake ndio wakala wa Jean Charles Ahoua" Anasema Alex Ngereza.