YANGA WAINGILIA DILI LA MPANZU KWENDA SIMBA, MWENYEWE ABAKI NJIA PANDA

YANGA WAINGILIA DILI LA MPANZU KWENDA SIMBA, MWENYEWE ABAKI NJIA PANDA


Mchezaji wa klabu ya AS Vita Elie Mpanzu amenukuliwa akizungumza kuhusu yeye kusajiliwa na klabu za Tanzania.

"Ni kweli Yanga wamenifuata wakati naendelea na mazungumzo na klabu ya Simba lakini bado sijaamua maamuzi ya mwisho wapi pakwenda"

"Timu zote Simba na Yanga zimenifuata lakini muda wa usajili bado,hivyo nina muda wa kutosha kufanya maamuzi wapi pakwenda Simba au Yanga" AMESEMA Elie Mpanzu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad