Amri Kiemba |
PENATI YA SIMBA ILIKUWA YA HALALI, HOZI ALITUMUA NGUVU NYINGI DHIDI YA ZIMBWE
Tafsiri ya Amri Kiemba kwenye tukio la Nahodha wa Dodoma Jiji Salmin Hoza kumfanyia faulo Nahodha wa Simba SC Mohammed Hussein na mwamuzi kuamua ipigwe penati langoni kwa Dodoma Jiji.
“Kwa angle ambayo kocha alikuwepo ni ngumu kuona, ila nguvu iliyotumika kwenye tukio lile ni kubwa sana , ni kweli amegusa mpira lakini nguvu aliyotumia imehatarisha usalama wa mwenzie”
“Sheria namba 12 inasema kutumia nguvu kupitiliza ni kosa , penati ilistahili kutolewa “