Mwigulu Nchemba Afunguka "Fei Toto Atakiwa Aende Simba"

 

Mwigulu Nchemba Afunguka "Fei Toto Atakiwa Aende Simba"

Baada ya Feisal Salum ‘Fei Toto‘ kufanikiwa kufunga bao zuri kwa Taifa Stars la kusawazisha dhidi ya Guinea bao hilo limemuibua Mheshimiwa Waziri wa Fedha Dkt.Mwigulu Nchemba na kumwambia Feisal kuwa akitoa Azam FC aende Simba SC kisha aelekee Singida BS.

“Mwanangu buana,Ulifunga goli muhimu sana katika mechi muhimu sana Jana Anyway hii ni kawaida yako, ndivyo ulifanya ukiwa mitaa ya Jangwani, ndivyo unaendelea kufanya mitaa ya Chamazi.

“Ulishafanya makubwa Jangwani na Chamazi, mwanangu kwani vipi ukimaliza kabisa mitaa yote Dar es Salaam yaani mpaka mtaa wa Msimbazi kabla ya kuja Singida? Si Baba kasema? Congrants my Son” – Dkt. Mwigulu Nchemba.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad