Jean Charles Ahoua Mchezaji Bora wa Mwezi Ligi Kuu ya NBC


Kiungo Jean Charles Ahoua pia amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi wa nane (8).


Ahoua amecheza michezo miwili akifunga goli moja na kutoa pasi tatu za mabao yaani Asisst.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad