ALI KAMWE ATOA MPYA 'HATUJAZOEA GOLI MOJA…TUNA TIMU BORA'

 

ALI KAMWE ATOA MPYA 'HATUJAZOEA GOLI MOJA…TUNA TIMU BORA'

YANGA inashuka dimbani leo kucheza mchezo wa raundi ya pili kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya CBE ya Ethiopia.

Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa New Amaan Zanzibar majira ya saa 2:30 Usiku.

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema kuwa mashabiki wa timu hiyo, hawapendi kushangilia goli moja bali wamezoea magoli mengi kwa ubora wao.

“Mashabiki wote Duniani wao wanataka mpira uingie kambani ili wao washangilie, kwa bahati mbaya sisi mashabiki wetu hawaamini kwenye goli moja kwa ubora tulionao umewasukuma mashabiki wetu waamini kwenye mabao mengi.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad