Usiku wa Tuzo za TFF ulikuwa ni Agosti Mosi, na wachezaji na wadau wengi wa soka walishinda tuzo zao, miongoni mwa wachezaji hao ambao waliibuka kidete ni Aziz Ki wa Yanga aliyechukua tuzo nne.
WASHINDI WENGINE WA TUZO HIZO 2023/24
Mchezaji Bora Ligi Kuu Bara – Stephane Aziz KI (Yanga)
Kiungo Bora Ligi Kuu Bara – Stephane Aziz KI (Yanga)
Mfungaji Bora Ligi Kuu Bara – Stephane Aziz KI (Yanga)
Beki Bora wa Ligi Kuu Bara – Ibrahim Bacca (Yanga)
Kipa Bora Ligi Kuu Bara – Ley Matampi (Coastal Union)
Mfungaji Bora Shirikisho – Clement Mzize (Yanga)
Mchezaji Bora Shirikisho – Feisal Salum (Azam FC)
Kipa Bora Shirikisho – Diarra Djigui (Yanga)
Mchezaji Chipukizi Bara – Raheem Shomary (KMC)
Mchezaji Chipukizi WPL – Ester Maseke
Kipa Bora WPL – Caroline Rufo
Mfungaji Bora WPL – Aisha Mnunka
Mchezaji Bora WPL – Aisha Mnunka
Kocha Bora Ligi Kuu – Miguel Gamondi
Kocha Bora WPL – Juma Mgunda
Mwamuzi Bora Bara – Ahmed Arajiga
Mwamuzi Bora WPL – Amina Kyando
Mwamuzi Msaidizi Bara – Mohammed Mkono
Mwamuzi Msaidizi WPL – Zawadi Yusuph
Tuzo za Rais TFF – Said El Maamry
Tuzo ya Heshima – Leodger Tenga
Tuzo ya Heshima WPL – Juma Bomba
Mchezaji Nje ya Nchi Wanaume – Mbwana Samatta
Mchezaji Nje ya Nchi Wanawake – Aisha Masaka
Mchezaji Bora Ufukweni – Jaruph Juma
Mchezaji Bora First League-Ayoub Masudi (African Sports)
Mchezaji Bora Championship – Edger William (KenGold)
Bao Bora la Msimu – Kipre Junior (Azam FC)
Kikosi Bora cha Msimu ni; Ley Matampi, Yao Kouassi, Mohamed Hussein, Ibrahim Abdullah, Dickson Job, Mudathir Yahya, Maxi Nzengeli, Feisal Salum, Wazir Junior, Stephane Aziz Ki na Kipre Junior.