Tetesi: Fred Michael kumfuata Benchikha USM Alger

 

Fred Funga Funga

Huenda muda wowote kutoka sasa mshambuliaji Fred Michael Koublan akajiunga na USM Alger ya Ligi Kuu Algeria.


USM Alger wanataka kumsajili Fred kama mbadala wa Leonel Ateba aliyetimkia Simba SC.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.