Majina ya Wachezaji Walioitwa Timu ya Taifa Stars Kufuzu AFCON 2025

 

Kikosi cha timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars)

Kikosi cha timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars)

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo Agosti 26, 2024 limetangaza kikosi kitakachoingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya timu ya Taifa Stars kuelekea michuano ya Afrika Cup of Nations (AFCON) 2025.

Kikosi cha timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars)


Kikosi hicho kinatarajiwa kucheza michezo miwili ya kufuzu katika mashindano ya Afcon 2025 ambapo mchezo wa kwanza watacheza dhidi ya Ethiopia na wa pili dhidi ya Guinea, Stars wanatarajiwa kuweka kambi nchini Misri kwa maandalizi ya mwisho kabla ya kushiriki AFCON 2025

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.