Kikosi Cha Simba Vs APR 03 Agosti 2024 – Simba Day
Simba ilimaliza msimu uliopita ikiwa nafasi ya tatu kwa kuvuna pointi 69, sawa na Azam FC waliomaliza katika nafasi ya pili, lakini Azam waliongoza kwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa.
Kwahiyo ni wazi kwamba leo ndio siku ya mashabiki na wadau wa klabu hiyo kutembea kibabe sana kwenda kwenye mtoko matata kabisa wa Simba Day. Wanatesti mitambo dhidi ya APR ya Rwanda.
Ndani ya vaibu hilo wapo wachezaji ambao watatangazwa kwa mara ya kwanza na wengine ni wakongwe;
Wakati tunasubiri kikosi rasmi kitakachotangazwa na kocha wa Simba, Habariforum tumekuletea utabiri wa kikosi tunachotarajia kitaanza katika mchezo wa kirafiki wa SImba vs APR. Utabiri wetu wa kikosi umejikita katika kuangalia ubora wa wachezaji katika michezo iliyopita.
1 Salim
12 Kapombe
15 Hussein
2 Chamou
20 Che Malone
19 Mzamiru
16 Balua
6 Ngoma
11 Mukwala
10 Ahoua
7 Mutale