Yanga Mabingwa wa Safari Cup, Wampiga Mtu bao nne

 

Yanga Mabingwa wa Safari Cup, Wampiga Mtu bao nne

Klabu ya Young Africans Sc imeibuka bingwa wa kombe la Safari Cup baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Safari Champions katika dimba la Benjamin Mkapa.


FT: Safari Champions 1️⃣➖4️⃣ Yanga SC

⚽️ Omary Mfaume dakika ya 1

⚽️ Shekhan Ibrahim dakika ya 11

⚽️ Prosper Moses Samwel dakika ya 44

⚽ Hussein Ibrahim dakika ya 50.


Safari Champions ni kikosi ambacho kilipatikana kupitia programu maalum iliyoendeshwa na TBL ambayo ilitafuta vijana wenye vipaji kutoka mikoa mbali mbali na kufanikiwa kuunda timu yenye wachezaji 25.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.