Singida FG wavunja benchi lote la Ufundi

 

Singida FG wavunja benchi lote la Ufundi

Uongozi wa Singida Fountain Gate umefikia uamuzi wa kuvun-ja benchi lote la ufundi lilokuwa chini ya ‘kocha’, Ngawina Ngawina.


‘Timu’ hiyo ambayo imemaliza msimu nafasi ya 11 baada ya kukusanya pointi 33 imefikia uamuzi huo kwa makubaliano ya pande zote mbili.


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ‘klabu’ hiyo imeeleza kuwa mabadiliko hayo ni kwa ajili ya maslahi mapana ya ‘klabu’ yao.


"Tunawatakia kila la heri kwenye majukumu yao mahali pengine kulijenga ‘soka’ la taifa letu." Ilisema taarifa hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.