Shaffih Dauda: Nafasi ya Kipa Haipashwi Kuwa na Wachezaji wa Kigeni Ligi KuuMsimu ujao tuwe na kanuni ya
kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni katika ligi yetu, lakini nafasi ya kipa haitakiwi kuwa na mchezaji wa kigeni kabisa. Hii itatujengea timu bora ya taifa eneo la golini. lazama kipa kama Mshery ni miongoni mwa makipa mahirl alivyokuwa Mtibwa Sugar. Maana kule alikuwa anacheza, lakini maisha yakawa tofauti alivyojiunga na Yanga SC.

Lazima tuwape nafasi wachezaji vijana. 

Juma Kaseja kaanza kupewa nafasi alivyokuwa anasoma Sekondari ya
Makongo, hii ilimfanya Kaseja kuwa moja ya makipa mahiri katika soka letu “
Mchambuzi wa Michezo nchini Tanzania @shaffihdauda_

Unakubaliana na Mawazo yake kwa maendeleo ya Soka letu la Bongo?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.