Golikipa alieokoa Penati ya Aziz KI awakimbia Azam FC




Klabu ya Azam FC inaendelea na juhudi za kumshawishi golikipa namba moja wa klabu ya El Merreikh ya Sudan Mohamed Mustafa ambaye mkopo wake umemalizika baada ya msimu wa Ligi kuu nchini kumalizika.

El Merreikh msimu ujao itashiriki Ligi kuu nchini Mauritania na michuano ya kimataifa huku wakimtegemea kwa hali na mali golikipa huyo.

Mustafa amekuwa na kiwango bora sana tangu ametua Azam FC, na kuiwezesha timu hiyo kumaliza nafasi ya pili ya msimamo wa Ligi na kufika fainali ya kombe la shirikisho nchini

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.