Hii ni radi ambayo imepiga muda si mrefu katika uwanja ambao Mechi ya hatua ya 16 bora ya #EURO2024 kati ya Ujerumani dhidi ya Denmark ilikuwa ikiendelea hali iliyosababisha mpira kusimamishwa, na baada ya hali ya hewa kutulia mchezo uliruhusiwa kuendea na hivi sasa ni Mapumziko.
HT: Germany 0-0 Denmark
Hii radi ingetokea bongo pale Lupaso unadhani wabongo wangesemaje?