Aziz K Aipa Thank You Yanga.....




Mchezaji Wa Yanga Aziz Ki Ameutumia Ukurasa Wake Wa Instagram Kumshukuru Mungu Na Kuushukuru Uongozi, Mashabiki Pamoja Na Wachezaji Wenzie Wa Yanga Kwa Mafanikio Aliyoyapata Katika Msimu Uliomalizika Hivi Punde

Aziz Ki Anaandika

"kila kitu kiliwezekana asante kwa wachezaji wenzangu, wafanyakazi, kamati ya rais na hasa wewe, mashabiki, wapendwa wangu, familia na pia kwa baraka za MUNGU mwema🙏🏻

kwa mara nyingine tena asante kwa uaminifu wako, msaada wako, imani yako, umenipa mengi katika msimu wote 🔰🙏🏻 #ksa10🙏🏻⚽️👑

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad