Azam Waionyooshea Mikono Yanga, Wabariki PRINCE Dube Kuvunja Mkataba, Wafunguka Haya

Azam Waionyooshea Mikono Yanga, Wabariki PRINCE Dube Kuvunja Mkataba, Wafunguka Haya

Azam Waionyooshea Mikono Yanga, Wabariki PRINCE Dube Kuvunja Mkataba, Wafunguka Haya

Taarifa kutoka Azam FC Kuhusu Prince Dube Kwenda Yanga

Tunapenda kuutarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024.

Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji huyo kutimiza
matakwa ya kimkataba kama ilivyoainishwa kwenye
vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba.

Tunamtakia kila la kheri katika safari yake ya soka na maisha kwa ujumla.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.