Huyu ndie Binadamu Pekee Anaeweza Kuokoa Ndoto za Arsenal

 

Huyu ndie Binadamu pekee anaeweza kuokoa ndoto za Arsenal

Baada ya Tottenham juzi kupoteza mchezo wake mbele ya Man City, tumaini pekee lililobaki kwa Arsenal ni Davis Moyes na vijana wake wa ''West Ham United", ambapo hii ni kwa sababu mchezo kati ya Man City dhidi ya West Ham ndiyo utaamua nani awe bingwa kati ya Mabingwa watetezi Man City ama Arsenal wenyewe.


Je, unadhani West Ham wataweza kuwazuia Man City kubebwa ubingwa wa EPL?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.