Endapo Fei Toto na Aziz K Watalingana Magoli Mwisho wa Ligi, Fei Toto Atapewa Kiatu Cha Dhahabu


Fei Toto vs Aziz K
Fei Toto vs Aziz K


Kanuni mpya katika Kipengele cha ufungaji bora wa ligi kinasema, endapo Wachezaji wawili watalingana magoli basi mwenye idadi ya magoli machache ya penati ndio atakuwa mfungaji bora.

• Goli la Penati - Alama 1
• Goli la kawaida - Alama 2

Kwa kuwa Aziz Ki amefunga magoli mengi ya penati kumzidi Feitoto basi Fei atatangazwa kuwa mfungaji Bora msimu huu 2023-24.

FINAL GAME:
Yanga vs Prisons
Azam vs Geita Gold

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad