Dickson Job na Mbwana Samatta Watemwa Taifa Stars

 

Dickson Job na Mbwana Samatta Watemwa Taifa Stars

Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa ya, Hemed Suleiman ametangaza kikosi cha Stars kitakachoingia kambini kujiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Zambia.


Taarifa ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imebainisha kuwa wachezaji wa Young Africans na Azam FC watajiunga na timu ya Taifa baada ya fainali ya CRDB Bank Federation Cup.


Kitu kilichoshangaza katika kikosi hicho ni kutoitwa kwa Wachezaji wawili, Nahodha Mbwana Samatta na Dickson Job.


Je unadhani walipaswa kuitwa? kocha amekosea?

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.