Kubali au Kataa, Yanga itatawala Kikosi Bora Mwisho wa Msimu

 

Kubali au kataa, Yanga itatawala kikosi Bora mwisho wa msimu

Hapana shaka kwa sasa Yanga ndio timu ambayo imekuwa bora katika maeneo mengi kulingana na takwimu za timu kwa jumla pamoja na mchezaji mmoja mmoja.


Kuelekea mwisho wa msimu huu huenda Yanga ikawa na idadi ya wachezaji wengi katika kikosi bora cha Ligi Kuu msimu wa 2023/0224.


Miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao inawezekana kwa kiasi kikubwa wakawa sehemu ya kikosi bora cha msimu huu ni Djigui Diarra,Yao Yao,Ibrahim Bacca,Khalid Aucho,Pacome Zouzoua,Mudathir Yahya na Gaucho Aziz Ki.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.